Posts

Showing posts from July, 2018

DIRISHA LA MAOMBI YA KWENDA VYUO VIKUU NA VYUO VYA KATI LAFUNGULIWA

6/07/2018 KARIM  ENTERPRISES CO.LTD Dealers in :Stationery , Printways and Internert café INAWATANGAZIA WANAFUNZI WALIOKWISHA MALIZA SHULE ZA   SEKONDARI WA KIDATO CHA NNE KWA MWAKA 2017 NA MIAKA YA NYUMA NA KIDATO CHA SITA KWA MWAKA 2017 NA MIAKA YA NYUMA   WANAOTAKA KWENDA KUSOMA  VYUO VIKUU,  NA VYUO VYA KATI VYA KATI KUWA:- -        MIFUMO YA KUTUMA MAOMBI   KWA NJIA YA MTANDAO KWA VYUO VYA SERIKALI    NA VYUO BINAFSI IMEFUNGULIWA NA IPO WAZI   KATIKA FANI MBALIMBALI KAMA UALIMU , AFYA , UHASIBU , USIMAMIZI WA BIASHARA , MASOKO , UNUNUZI NA UGAVI , USTAWI WA JAMII ,USIMAMIZI BENKI NA FEDHA, USIMAMIZI WA KODI   NA NYINGINEZO KATIKA NGAZI ZA CERTIFICATE , DIPLOMA NA BACHELOR. -        HIVYO WANAOTAKA KUTUMA MAOMBI YA KUJIUNGA NA VYUO HIVYO WANASHAURIWA KUFIKA KATIKA OFISI ZETU ZILIZOPO MADIZINI MTAA WA MSIKITINI MWISHO WA KUTUMA MAOMBI :- KWA ...

MTOTO PATRICK WA MUNALOVE NA CASTO AFARIKI DUNIA -VIDEO

Image
MTOTO PATRICK WA MUNALOVE NA CASTO AFARIKI DUNIA -VIDEO July 4, 2018 by  ATILIO KIBUGA BLOG ATILIO KIBUGA BLOG KY AJK WALTER KIBUGA MSANII wa Filamu za Bongo na mdau wa Muziki wa Bongo Fleva, Rose Alphonce ‘Muna Love’  na mtangazaji Casto Dickson,  wamefiwa na mtoto wao aitwaye Patrick ambaye amefariki leo Julai 3, 2018 akiwa nchini Kenya akipatiwa matibabu. Sababu za kifo chake hakijafahamika. Muna Love akiwa na mtoto wake. Kupitia ukurasa wa instagram wa Zamaradi Mketema ameandika “Tumejitahidi ila MUNGU ana mitihani yake, mikono inatetemeka ila ndio ukweli, PATY AMEFARIKI!! Pumzika kwa amani baba”