Posts

Showing posts with the label ATILIO KIBUGA BLOG

Shetta - Vumba Feat G Nako (Official Music Video)

Image
Shetta - Vumba Feat G Nako (Official Music Video)

Njia 7 Za Kuwa Mafanyabiashara Mkubwa

Image
Njia 7 Za Kuwa Mafanyabiashara Mkubwa ATILIO KIBUGA   Blog     Wednesday, DECEMBER 5, 2017     Biashara   Je unataka kuwa kama MO ??  Fuata hatua hizi 7 utafika alipo MO.. 1. Chagua wazo bora la kibiashara. Wazo bora la kibiashara ndilo litakalo kufanya kuwa mfanyabiashara wa mkubwa. Mara nyingi nimekuwa nikikutana na watu wakisema wanataka kuwa wafanyabiashara na kuishia kusema tu. Ila ukweli ni kwamba katika kuchagua wazo bora la kibiashara ni lazima ujiulize je unataka kuwa mzalishaji wa bidhaa au huduma? Je unataka kuwa mnunuzi na muuzaji?au  je unataka kuwa msambazaji tu ? Hayo yanaweza kuwa miongoni mwa maswali ya msingi ya kujiuliza. 2. Fanya uchunguzi juu ya washindani wako. Hapa ndipo jicho la tatu linaposhindwa kufanya kazi mara nyingi. Tumekuwa si wachunguzaji wazuri juu ya washindani wetu ila tumekuwa wasikilizaji tu kwa watu wengine juu ya washindani wetu. Ila ikumbukwe ya kwamba fanya uchunguzi wa kutosha i...

Wastara ajitosa Bongo Fleva

Image
Wastara ajitosa Bongo Fleva ATILIO KIBUGA BLOG     Wednesday, December 06, 2017   STAA wa filamu za Kibongo, Wastara Juma baada ya kusikika kwa Wimbo wa Wanawake ambao aliuzindua wakati akienda nchini Sweden, sasa amejipanga kutoa wimbo mwingine unaoitwa Mama na Mtoto ambao nao unaihusu jamii kwa ujumla. Akibonga na Risasi Vibes, Wastara alisema kuwa ameamua kuimba nyimbo zinazoihusu jamii hasa akina mama na watoto. “Wimbo wangu wa sasa unaelezea zaidi thamani ya mtoto na akina mama jinsi ya kumlinda mtoto, nimeshatoa ‘single’ yake na video ndiyo namalizia kuifanyia shooting hivyo watu wakae mkao wa kula,” alisema Wastara.