DIRISHA LA MAOMBI YA KWENDA VYUO VIKUU NA VYUO VYA KATI LAFUNGULIWA
6/07/2018
KARIM ENTERPRISES CO.LTD
Dealers in
:Stationery , Printways and Internert café
INAWATANGAZIA
WANAFUNZI WALIOKWISHA MALIZA SHULE ZA SEKONDARI WA KIDATO CHA NNE KWA MWAKA 2017 NA
MIAKA YA NYUMA NA KIDATO CHA SITA KWA MWAKA 2017 NA MIAKA YA NYUMA WANAOTAKA KWENDA KUSOMA
VYUO VIKUU,
NA VYUO VYA
KATI VYA KATI KUWA:-
-
MIFUMO YA KUTUMA
MAOMBI KWA NJIA YA MTANDAO KWA VYUO VYA
SERIKALI NA VYUO BINAFSI IMEFUNGULIWA NA
IPO WAZI KATIKA FANI MBALIMBALI KAMA
UALIMU , AFYA , UHASIBU , USIMAMIZI WA BIASHARA , MASOKO , UNUNUZI NA UGAVI ,
USTAWI WA JAMII ,USIMAMIZI BENKI NA FEDHA, USIMAMIZI WA KODI NA NYINGINEZO KATIKA NGAZI ZA CERTIFICATE ,
DIPLOMA NA BACHELOR.
-
HIVYO WANAOTAKA
KUTUMA MAOMBI YA KUJIUNGA NA VYUO HIVYO WANASHAURIWA KUFIKA KATIKA OFISI ZETU
ZILIZOPO MADIZINI MTAA WA MSIKITINI
MWISHO WA KUTUMA
MAOMBI :-
KWA BACHELOR
DEGREE NI TAREHE:- 15/08/2018
KWA DIPLOMA NA
CERTIFICATE TAREHE:- 8/09/2018
KWA MAWASILIANO ZAIDI :
0719 719129/ 0768 036797
NB: DIRISHA LA
MAOMBI KWA WANAFUNZI WALIOMALIZA KIDATO CHA SITA KWA MWAKA 2018 LITAFUNGULIWA
TAREHE 20/07/2018
TANGAZO HILI LIMEANDALIWA NA
MENEJA
KARIM ENTERPRESES
SHUKRANI KWA ATILIO KIBUGA BLOG
Comments
Post a Comment