BLOGGER NI MOJA KATI YA MAKAMPUNI MAKUBWA DUNIANI YANAYOKUWEZESHA WEWE KUFUNGUA BLOG YAKO NZURI NA NI RAHISI KUTUMIA SO FANYA KITU KIMOJA NENDA KWENYE GOOGLE ANDIKA CREAT BLOG WITH BLOGGER The latest tips and news from the Blogger team Share your unique style with new Blogger themes March 20, 2017 If you’re one of the millions of people who uses Blogger to share your views on current affairs, teach the world how to make sushi, or just offer a peek into your day, then you know how important it is to be able to put your personal stamp on your blog. After all, your blog isn’t just a place you share, it’s a reflection of who you are and the impression you’d like to leave with your readers. To make it easier for you to express your unique style, we’ve created a new set of blog themes for you to choose from. Each theme comes in a variety of colors, is fully customizable, and can be added to your blog with just a few clicks....
Ufahamu ugonjwa wa kisukari ATILIO KIBUGA BLOG Saturday, December 02, 2017 Afya Huu ni ugonjwa unaosababishwa na kongosho kushindwa kufanya kuzalisha insulin, au mwili kushindwa kutumia insulin ambayo huzalishwa katika kongosho, sukari (clucose) ikiingia katika mwili kama ikizidi kongosho huzalisha glucgone homoni ambayo hutumika kubadilisha glucose kwenda kwenye glycogen ambayo huifadhiwa kwenye misuli, kama mwili ukifikia hatua hauna uwezo wa kuzalisha glucagonhubadilisha glycogen kuwa glucose na kutumika katika mwili kwa hiyo kama kongosho ikishindwa kuzalisha glucagon hapa ndipo chanzo xha sukari ya kushuka huanza na mtu kuugua kisukari cha kushuka, kwa sababu cell za mwili huanza kushuka. Visababishi vya kisukari.a Uzito kupita kiasi. Kurithi kutoka kwenye ukoo. Kutokufanya mazoezi. Kula vyakula vyenye sukari. Kongosho kutofanya kazi vizuri au kutofanya kazi kabisa. Matatizo ya figo na presha ya kupanda. Dalili za ugonjwa huu n...
Ufugaji Nyuki Kwa kawaida makundi ya nyuki katika nchi ya Tanzania na baadhi ya nchi zinazolingana kwa tabia za nchi, makundi ya nyuki huanza kutafuta sehemu salama na yenye chakula kwa wingi kuanzia mwezi wa kumi katika mwaka mpaka mwezi wa nne kwa mwaka unaofuata.Kipindi hiki huwa na makundi mengi yanayozunguka hapa na pale kutafuta nyumba ambayo itawafaa kwa ajili ya makazi yao na kwa ajili ya kuhifadhia chakula. Hiki ndio huwa kipindi muafaka sana kwa wafugaji kuanza kutega mizinga ambayo imeshaandaliwa kwa ajili ya kufugia nyuki.Kwa kuwa makundi mengi huwa yanatafuta sehemu za makazi hivyo ni rahisi sana kuyakama na kuyahifadhi makundi hayo kwa ajili ya uzalishaji wa mazao ya nyuki. Kutokana na hilo, mfugaji anapaswa kuanza kuandaa sehemu ya kufugiua nyuki na mizinga yake mapema zaidi kabla ya msimu huo kufika ili asiweze kukosa makundi ya nyuki.Unashauriwa kuanza kuandaa mazingira ya kufugia nyuki na mizinga angalau mwezi mmoja kabla kwa kusafisha, kukarabati a...
Comments
Post a Comment