Mwili wa Mzee Majuto Kuagwa Karimjee Leo
ATILIO KIBUGA BLOG HOME SIASA UDAKU MICHEZO AFYA UREMBO BURUDANI MAPENZI ADVERTISE HERE CONTACT with me atilio kibuga Mwili wa Mzee Majuto Kuagwa Karimjee Leo 10:01 Tanzia No comments Mwili wa msanii wa vichekesho Amri Athumani ' King Majuto' aliyefariki jana katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, utaagwa leo Agosti 9, 2018 katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam. Rais wa shirikisho la filamu Tanzania , Simon Mwakifamba amesema, Mzee Majuto ataagwa kuanzia saa 8.00 mchana katika viwanja hivyo na saa 10.00 jioni atasafirishwa kwenda nyumbani kwake Tanga kwa mazishi. “Taarifa ambayo tumewasiliana na familia ni kwamba, Mzee Majuto ndugu jamaa na marafiki watatoa heshima za mwisho na baada ya hapo mwili utaelpelekwa nyumbani kwake Tanga kwa ajili y...