Posts

Dk. Kigwangalla Afunga Mafunzo Ya 15 Ya Jeshi USU Kwa Maafisa Wanyamapori Wa Tawa, Tanapa Na Ngorongoro Mkoani Katavi

Image
Monday, December 18, 2017 Dk. Kigwangalla Afunga Mafunzo Ya 15 Ya Jeshi USU Kwa Maafisa Wanyamapori Wa Tawa, Tanapa Na Ngorongoro Mkoani Katavi WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla amewaagiza wahifadhi wote nchini kushirikiana na wadau wengine hasa mamlaka za Mikoa na Wilaya katika maeneo yenye uvamizi wa mifugo na migogoro ya mipaka ya hifadhi ili kutatua changamoto hizo kwa namna shirikishi ikiwa ni pamoja na kuimarisha utoaji wa elimu kwa wananchi wanaozunguka maeneo hayo. Ametoa agizo hilo  Disemba, 16, 2017 katika Wilaya ya Mlele Mkoani Katavi wakati akifunga mafunzo ya 15 ya mabadiliko ya kuelekea mfumo wa Jeshi Usu kwa Maafisa wa Wanyamapori 87 wa Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania– TAWA, Shirika la Hifadhi za Taifa – TANAPA na Mamlaka ya Hifadhi ya Eneo la Ngorongoro. “Kazi ya ulinzi wa rasilimali zetu za asili ni yetu na tutaiendeleza, Falsafa yetu ni kuwashirikisha wadau wote, kama kuna taasisi za kiraia kwenye ...

Utajuaje Kama Ugonjwa Wa Kisukari Ulio Nao Ni Halali Au Haramu ?

Image
Monday, December 18, 2017 Utajuaje Kama Ugonjwa Wa Kisukari Ulio Nao Ni Halali Au Haramu ? Katika  uganga  na  uchawi  magonjwa  yamegawanyika   katika  makundi  makuu  mawili . Kundi la   kwanza  ni  magonjwa  halali  na  kundi la  pili  ni  magonjwa  haramu. Magonjwa  halali  ni  magonjwa  yanayo tokana  na  sababu  za  kisayansi  na  magonjwa  haramu  ni  magonjwa  yanayo  tokana  na  kurogwa. Wachawi  wana uwezo  wa  kutengeneza  magonjwa  mbalimbali  na   kuwatupia  watu  walio  wakusudia. Mtu  alietupiwa   maradhi  ya  kichawi  huonyesha  dalili  zote za  mgonjwa  wa  kawaida  mwenye  ugonjwa  huo  lakini  akienda  ...

LA LIGA SOS Daniel Sturridge could move to Spain to get regular first-team football and push for World Cup place

Image
LA LIGA SOS   Daniel Sturridge could move to Spain to get regular first-team football and push for World Cup place Time is running out for Liverpool forward to get enough games under his belt before Gareth Southgate picks his England squad for the tournament in Russia next summer LIVERPOOL  star Daniel Sturrdige will ponder a move abroad next month in a bid to save his World Cup hopes with Valencia and Real Betis keen. The striker has struggled for regular football under Jurgen Klopp as he looks to force his way back into the England reckoning before the World Cup. GETTY IMAGES - GETTY 3 Daniel Sturridge is considering moving to Spain with Valencia and Real Betis keen The 28-year-old Brummie is attracting interest from Spain with Real Betis and Valencia hoping to tempt the striker to move to La Liga on loan, according to the  Daily Mail . Sturridge has been dogged with injuries in recent years but has been fit for the majority of the current c...

Messenger Kids: Facebook yazindua mtandao wa kijamii wa watoto

Image
Messenger Kids: Facebook yazindua mtandao wa kijamii wa watoto DECEMBER 12 Sambaza habari hii Facebook   Sambaza habari hii Twitter   Sambaza habari hii Messenger   Sambaza habari hii Email   Mshirikishe mwenzako Haki miliki ya picha FACEBOOK Image caption Watoto wanaweza kuwasiliana kwa video, kwa idhini ya wazazi wao Kampuni ya Facebook imezindua mtandao mpya wa kijamii wa kutumiwa na watoto wa chini ya miaka 13. Mtandao huo ambao umeundwa kwa njia sawa na mtandao wa Messenger ambao huwawezesha wanaoutumia kuwasiliana kwa kutumiana ujumbe utakuwa ukiitwa Messenger Kids. Facebook kwa kawaida imekuwa hairuhusu watoto wa chini ya miaka 13 kutumia mtandao wake mkuu wa Facebook. Lakini taarifa zinasema wapo wengi ambao huhadaa kuhusu umri wao na kwamba inakadiriwa watoto zaidi ya 20 milioni wa chini ya miaka 13 wanatumia mtandao wa Facebook. Mtoto wa miaka 8 aendesha gari kununua chakula Mwanamke ambaye simu yake ilimpatia matokeo ya makos...

Tetesi za Soka Ulaya Jumanne 12.12.2017

Image
Tetesi za Soka Ulaya Jumanne 12.12.2017 Haki miliki ya picha GETTY IMAGES Image caption Olivier Giroud Mshambuliaji wa Arsenal Olivier Giroud, 31, amefichua kuwa anatathmini kuondoka huko Emirates kujiongezea fursa yake ya kuchaguliwa kujiunga na kikosi kinatachoshiriki kombe la dunia. Everton na West Ham wamehusishwa. (Sun) Lakini Arsene Wenger anasema kwa Giroud hawezi kuuzwa Januari kwa sababu anataka kumpa mshambuliaji huyo muda zaidi wa kucheza uwanjani. (Independent) Haki miliki ya picha GETTY IMAGES Image caption Mesut Ozil Arsenal wanafanya jitihada moja ya mwisho kumshawishi Mesut Ozil kusalia kwenye klabu, wakiwa na matumaini kuwa awamu nyingine mwisho ya mazungumzo kumshawishi mchezaji huo kusalia licha ya Barcelona na Manchester United Kummezea mate. (Daily Mirror) Real Madrid bado hawajaamua kumpa ofa kipa wa Chelsea raia wa Ubelgiji Thibaut Courtois, 25. (Sun) Haki miliki ya picha GETTY IMAGES Image caption David de Gea Real licha ya kuhusishwa na mchezaji ...

TUMIA FACEBOOK BILA MALIPO CLICK HAPA

Image
Oside Hardson  added  7 new photos . 2 December at 06:24  ·  Mungu Ni mwema wakat wote  hongera  my baby girl kumaliza chekechea Yako krb la kwanza mwakani Na mungu akutetea ktk masomo Yako See Translation +3 Like Show More Reactions Comment 46 Oside Hardson and 45 others Comments Oside Hardson   *Hakika pasipo Na njia mungu ufanya njia asante mungu baliki uzao wa tumbo langu Ili wajue Kweli Yako Bwana Wangu Amina* See translation Like Show More Reactions  ·  Reply  ·  2 December at 06:35 Remove Benjamin Peneza   Much  congrats  retisia!!! kazanaaa Like Show More Reactions  ·  Reply  ·  1  ·  2 December at 06:39 Remove Michael Aviha   Kapendeza See translation Like Show More ...