Posts

Download Audio: Enock Bella - Window

Image
Download Audio: Enock Bella - Window Kwa ATILIO KIBUGA BLOG  -       Januari 23, 2018

DOWNLOAD VIDEO: Edu Boy Ft Amber Lulu & Belle 9 - Tunasafisha

Image
DOWNLOAD VIDEO: Edu Boy Ft Amber Lulu & Belle 9 - Tunasafisha Kwa ATILIO KIBUGA BLOG -       Januari 24, 2018 Tazama VIDEO

DOWNLOAD VIDEO: Skales – Kpete Wicked

Image
DOWNLOAD VIDEO: Skales – Kpete Wicked By  A TILIO KIBUGA TV -   January 15, 2018 Skales – Kpete Wicked. Skales out with a spanking new video for  “KPETE WICKED”  off THE NEVER SAY NEVER GUY ALBUM directed by TEETASH. Enjoy below

DOWNLOAD VIDEO: Lava Lava – Utatulia

Image
DOWNLOAD VIDEO: Lava Lava – Utatulia By  A TILIO KIBUGA BLOG -   January 18, 2018 WATCH VIDEO

Ahukumiwa Miaka Mitatu Jela kwa Kumtusi na Kumtisha Mkuu wa Wilaya

Image
Saturday, January 13, 2018 Ahukumiwa Miaka Mitatu Jela kwa Kumtusi na Kumtisha Mkuu wa Wilaya Mahakama ya Wilaya ya Igunga mkoani Tabora, imemhukumu mkazi wa mtaa wa barabara ya Mbutu, mjini hapa, Mohamed Ahmed (54) kifungo cha miaka mitatu jela baada ya kutiwa hatiani kwa kumtishia na kumtolea lugha ya matusi Mkuu wa Wilaya ya Igunga, John Mwaipopo. Mwendesha Mashtaka wa Polisi, Elimajidi Kweyamba, alidai mahakamani hapo kwamba mshitakiwa, alitenda kosa hilo Januari 09, mwaka huu, saa 1:05 usiku katika maeneo ya barabara kuu ya lami ya Igunga mjini. Alidai kuwa mshitakiwa huyo alimtolea lugha ya matusi Mwaipopo wakati akitekeleza majukumu yake. Mbele ya Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Wilaya ya Igunga, Ajali Milanzi, Kweyamba alidai kuwa mshtakiwa alitenda kosa hilo wakati mkuu wa wilaya akitekeleza agizo la upandaji miti kama lilivyotolewa maelekezo na Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassani. Aidha, mwendesha mashtaka alidai kwamba katika kosa la pil...

RPC Shanna: Atakaefunga Barabara Na Kuchoma Matairi Mkesha Wa Mwaka Mpya Kukiona SeeBait

Image
Wednesday, December 27, 2017 RPC Shanna: Atakaefunga Barabara Na Kuchoma Matairi Mkesha Wa Mwaka Mpya Kukiona Na Mwamvua Mwinyi,Pwani Kamanda wa polisi mkoani Pwani (ACP) Jonathan Shanna ,ametoa onyo kwa watu wenye tabia ya kufunga barabara kwa kuchoma matairi katika mkesha wa mwaka mpya na kupelekea usumbufu kwa watuamiaji wengine wa barabara kuacha kufanya kitendo hicho . Amesema atakaejaribu kuchoma moto matairi kwenye mkesha huo,jeshi la polisi mkoani hapo litamchukulia hatua kali ili iwe fundisho kwa wengine.   Akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na hali ya kiusalama inavyoendelea hasa katika kipindi hiki cha kuelekea kwenye sikukuu ya mwisho wa mwaka ,kamanda Shanna alisema wanazidi kuimarisha doria katika pande zote za mkoa huo.   Alisema kipindi cha sikukuu ya x-mas hali ilikuwa shwarii hivyo wanaendelea na misako ya miguu kwa kushirikiana na vyombo vingine vya ulinzi na usalama na doria hizo zitakuwa mtaa kwa mtaa na ...

CCM yamjibu Askofu Kakobe baada ya kuikashifu serikali

Image
Wednesday, December 27, 2017 CCM yamjibu Askofu Kakobe baada ya kuikashifu serikali Chama cha Mapinduzi (CCM) kimesema Askofu Zakaria Kakobe wa Kanisa la FGBF lililopo Mwenge jijini Dar es Salaam amekosa hekima na busara kwa kugeuza madhabahu ya kanisa kuwa jukwaa la kisiasa na kuanza kukashifu viongozi wa serikali akiwemo Rais Dkt John Pombe Magufuli. Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Mkoa wa Dar es Salaam, Frank Kamugisha alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari ikiwa ni siku moja baada ya Aksofu Kakobe kukosoa namna serikali inavyotenda mambo yake, akisisitiza kwamba Tanzania si nchi ya chama kimoja kama ambavyo viongozi wanataka kuigeuza na hivyo kuwataka viongozi wa serikali waanze kutubu. Kamugisha amesema kuwa, wao kama viongozi wa CCM hawaweza wakakaa kimya wanapoona chama kinachafuliwa na viongozi wake ambao wanafanya kazi kwa niaba ya watanzania wakikashifiwa. Aidha, alisema kuwa, siasa ni kwa ajili ya wanasiasa, na ...