Posts

ATILIO KIBUGA BLOG

Mwili wa Mzee Majuto Kuagwa Karimjee Leo

Image
ATILIO KIBUGA BLOG     HOME   SIASA   UDAKU   MICHEZO   AFYA   UREMBO   BURUDANI   MAPENZI   ADVERTISE HERE   CONTACT with me atilio kibuga Mwili wa Mzee Majuto Kuagwa Karimjee Leo   10:01        Tanzia        No comments     Mwili wa msanii wa vichekesho Amri Athumani ' King Majuto' aliyefariki jana katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, utaagwa leo Agosti 9, 2018 katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam. Rais wa shirikisho la filamu Tanzania , Simon Mwakifamba amesema, Mzee Majuto ataagwa kuanzia saa 8.00 mchana katika viwanja hivyo na saa 10.00 jioni atasafirishwa kwenda nyumbani kwake Tanga kwa mazishi. “Taarifa ambayo tumewasiliana na familia ni kwamba, Mzee Majuto ndugu jamaa na marafiki watatoa heshima za mwisho na baada ya hapo mwili utaelpelekwa nyumbani kwake Tanga kwa ajili y...

Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo 9/8/2018

Image
Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo  9/8/2018   11:20       ATILIO KIBUGA     No comments     Bonyeza Links zifuatazo Kusoma zaidi na Kuapply Job Opportunities at School of St. Jude, Teachers Job Opportunity at Future First Global Tanzania, Project Manager Job Opportunity at Save the Children Tanzania, Child Safeguarding Officer Job Opportunity at Save The Chidren, Construction Assistant Job Opportunity at Save The Children, Child Protection Technical Specialist Job Opportunity at RTI International, Capacity Building Specialist Nafasi zingine ingia  www.ajirayako.co.tz Install Application ya Udaku Special Uweze Pata Habari Kirahisi Zaidi Usisahau Kusbscribe

SECRET DONT ENTER

Image
Summary: When your SD card, USB drive, memory card or other storage devices become write protected, the computer can only read data and files in SD card or USB drive. But no access will be available for you to input new data, move files out, delete data or even format. Here the following, you’ll find reliable methods to unlock SD card or USB drive and free erase/format SD card/USB drive without any obstacles SD card or USB drive inaccessible cases with write protection " Why did I receive 'The disk is write-protected' notice when I tried to move data into my memory SD card? What happened? " " My USB drive resists to storing new data by prompting me with write protection warming. And I cannot even format it. What can I do? " " I can access the memory card and even read data on it. And I even can delete data on it. But when I reconnect it with my computer, deleted data appear again. It's said that I have to unlock the card and format/er...

Breaking News: Muigizaji mkongwe Mzee Majuto afariki dunia

Image
Breaking News: Muigizaji mkongwe Mzee Majuto afariki dunia BY ATILIO KIBUGA   1 min ago  1 Facebook Twitter Share via Email Msanii mkongwe wa vichekesho Amri Athuman’ King Majuto’ amefariki dunia usiku huu baada ya kulazwa siku chache zilizopita katika hospitali ya Muhimbili jijini Dar es salaam. Mchekeshaji Joti ndio wa kwanza kutoa taarifa hizo kupitia mtandao wa instagram. “R.I.P @Kingmajuto Umetuachia Maumivu Makubwa sana ktk Tasnia ya Comedy Tanzania Sisi wanao,Tutakukumbuka kwa kazi zako,Upendo wako,Tabasamu lako Daima milele,Tulikupenda sana ila Mungu amekupenda zaidi,Pumzika kwa Amani Mzee wetu,” aliandika Joti. Muigizaji huyo alizaliwa mwaka 1948 jijini Tanga na kusoma shule Msambwini, Tanga, alianza kuigiza 1958 akiwa na umri wa miaka 9. Related Articles

DOWNLOA VIDEO: Mbosso – Nipepee (Zima Feni) By ATILIO KIBUGA -

Image
DOWNLOA VIDEO: Mbosso – Nipepee (Zima Feni) By   ATILIO KIBUGA  -   August 8, 2018 The Visual from Mbosso is here titled as “Nipepee” (Zima Feni), I invite you to watch and Enjoy It. WATCH VIDEO PAKUA

DIRISHA LA MAOMBI YA KWENDA VYUO VIKUU NA VYUO VYA KATI LAFUNGULIWA

6/07/2018 KARIM  ENTERPRISES CO.LTD Dealers in :Stationery , Printways and Internert café INAWATANGAZIA WANAFUNZI WALIOKWISHA MALIZA SHULE ZA   SEKONDARI WA KIDATO CHA NNE KWA MWAKA 2017 NA MIAKA YA NYUMA NA KIDATO CHA SITA KWA MWAKA 2017 NA MIAKA YA NYUMA   WANAOTAKA KWENDA KUSOMA  VYUO VIKUU,  NA VYUO VYA KATI VYA KATI KUWA:- -        MIFUMO YA KUTUMA MAOMBI   KWA NJIA YA MTANDAO KWA VYUO VYA SERIKALI    NA VYUO BINAFSI IMEFUNGULIWA NA IPO WAZI   KATIKA FANI MBALIMBALI KAMA UALIMU , AFYA , UHASIBU , USIMAMIZI WA BIASHARA , MASOKO , UNUNUZI NA UGAVI , USTAWI WA JAMII ,USIMAMIZI BENKI NA FEDHA, USIMAMIZI WA KODI   NA NYINGINEZO KATIKA NGAZI ZA CERTIFICATE , DIPLOMA NA BACHELOR. -        HIVYO WANAOTAKA KUTUMA MAOMBI YA KUJIUNGA NA VYUO HIVYO WANASHAURIWA KUFIKA KATIKA OFISI ZETU ZILIZOPO MADIZINI MTAA WA MSIKITINI MWISHO WA KUTUMA MAOMBI :- KWA ...

MTOTO PATRICK WA MUNALOVE NA CASTO AFARIKI DUNIA -VIDEO

Image
MTOTO PATRICK WA MUNALOVE NA CASTO AFARIKI DUNIA -VIDEO July 4, 2018 by  ATILIO KIBUGA BLOG ATILIO KIBUGA BLOG KY AJK WALTER KIBUGA MSANII wa Filamu za Bongo na mdau wa Muziki wa Bongo Fleva, Rose Alphonce ‘Muna Love’  na mtangazaji Casto Dickson,  wamefiwa na mtoto wao aitwaye Patrick ambaye amefariki leo Julai 3, 2018 akiwa nchini Kenya akipatiwa matibabu. Sababu za kifo chake hakijafahamika. Muna Love akiwa na mtoto wake. Kupitia ukurasa wa instagram wa Zamaradi Mketema ameandika “Tumejitahidi ila MUNGU ana mitihani yake, mikono inatetemeka ila ndio ukweli, PATY AMEFARIKI!! Pumzika kwa amani baba”