Maandalizi Ndoa ya Ali Kiba ni Kufuru!
Maandalizi Ndoa ya Ali Kiba ni Kufuru!
Wakati zikiwa zimesalia saa chache kabla mwanamuziki Alikiba hajafunga ndoa jijini Mombasa, imebainika kuwa ametumia mamilioni katika maandalizi ya sherehe hiyo.Ali kiba na Mpenzi wakeMwandishi wetu aliyepo Mombasa, Mohammed Ahmed anaripoti kuwa mapambo katika ukumbi utakaofanyika sherehe hiyo yamegharimu Sh2 milioni za Kenya ambazo ni wastani wa Sh40 milioni za Tanzania.Mpambaji wa ukumbi wa Diamond Jubilee unaochukua watu 1,500 katika jiji hilo ambaye mwandishi wetu alimkuta akiendelea na kazi, anasema amelipwa kiasi hicho cha fedha ambacho ni kikubwa kulingana na aina ya mapambo waliochagua maharusi.Alikiba anayetamba na wimbo Seduce Me...
Toa Maoni yako hapa - Add your comment
Related News
- In the last 2 hours
- ZARI AFANYA KUFURU KWA ALIKIBA BAADA YA NDOA, ANGALIA ZAWADI ALIYOITOA ZARI KWA ALIKIBA Sporti Starehe (Today) - Mwanamitindo Zari ameamua kuonyesha kufuru yake kwa Alikiba baada ya kufurahishwa na kitendo au maamuzi...
- In the last 3 hours
- Ndoa ya Prince Harry yaiva Mwana Spoti (Today) - ZIKIWA zimesalia siku kadhaa kabla ya kufungwa kwa ndoa ya kifalme kati ya Prince Harry...
- In the last 6 hours
- Kilichotokea kwenye sherehe ya Ali Kiba acha tu! Mwananchi Michezo (Today) - KIMASOMASO mwanangu usimwone, ni wimbo ambao Ali Kiba alimwimba mkewe, Amina Khalef mara tu baada...
- In the last 12 hours
- Mange Kimambi: Amvaa Vibaya Jokate tena! Kisa Ndoa ya Ali Kiba Sporti Starehe (Yesterday) - Mwanaharakati wa siasa Mtandaoni Mange Kimambi amemvaa Jokate na kumtolea povu zito baada ya aliyekuwa...
- VIDEO: Ali Kiba ategua kitendawili, afunga ndoa Mombasa Mwananchi (Yesterday) - Ndoa ya Kiba na Amina ilifungishwa na Sheikh Mohammed Kagera jana alfajiri katika msikiti huo....
- Mzazi mwenzie na Ali Kiba atoa maneno mazito... Sporti Starehe (Yesterday) - Mzazi mwenzie na msanii Ali Kiba Devotha ambaye amezaa naye mtoto wa kiume anayefahamika zaidi...
- Diamond Platnumz amtakia Ali Kiba heri katika maisha ya ndoa ampa salamu hizi Sporti Starehe (Yesterday) - Licha ya kuwepo na uvumi kila siku kila uchwao miaka na miaka kuwa diamond platnumz...
- Rasmi Diamond akubali Ali Kiba ni mfalme Sporti Starehe (Yesterday) - Na George MgangaMsanii wa muziki wa kizazi kipya nchini, Naseeb Abdul, 'Diamond Platnumz, amemtumia salaam...
- Diamond Ampa Hongera AliKiba Jamhuri Media (Yesterday) - Mwanamuziki Naseeb Abdul, maarufu Diamond Platnumz amemtumia salamu za pongezi mwanamuziki mwenzake, Ali Saleh...
- In the last 1 day
- Rasmi diamond akubali alikiba ni mfalme Sporti Starehe (Yesterday) - Na George MgangaMsanii wa muziki wa kizazi kipya nchini, Naseeb Abdul, 'Diamond Platnumz, amemtumia salaam...
Comments
Post a Comment