Posts

Msanii wa Bongo Fleva Tanzania Sam wa Ukweli ameaga dunia

Image
Msanii wa Bongo Fleva Tanzania Sam wa Ukweli ameaga dunia BY mwandishi atiliokibugajr Sambaza habari hii Facebook   Sambaza habari hii Twitter   Sambaza habari hii Messenger   Sambaza habari hii Email   . Haki miliki ya picha SAM WA UKWELI Image caption Mwanamuziki wa Bongo Fleva nchini Tanzania, Sam wa ukweli Msanii wa Bongo Fleva, Salum Mohamed aliyetamba kwa jina la Jukwaani kama Sam wa Ukweli amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Juni 7, 2018. Sam alitamba sana na kazi zake kama vile Sina Raha alioutoa katika ya mwaka 2009 na 2010, Usiniache, Lonely na Hata kwetu wapo. Hapo kati kati alipotea mpaka mwishoni mwa mwaka 2017 alipoibuka na kibao kingine kwa jina Kisiki na baadaye mwanzoni mwaka huu wa 2018 akauachia Wimbo Ni Wewe. Ingawa ni mtu wa Singida Sam wa Ukweli amekulia Kiwangwa jirani na mji wa Dar es Salaam ambako amelelewa na Bibi yake mzaa mama. Kwa mujibu wa aliyekuwa Meneja wa msanii huyo, Abdulmalik Mohamed , mwili wa mareh...

Salum Kihimbwa Aeleza Kuwa Ni goli La maajabu alilofunga dhidi ya Singida UTD?

Salum Kihimbwa Aeleza Kuwa Ni goli La maajabu alilofunga dhidi ya Singida UTD? Kwa mujibu wa kihimbwa Amesema anapenda kwanza kumshukuru Mungu kwa mchezo kumalizika salama kwa kunyakua  UBINGWA WA ASFC 

Abdallah Dida Atoa chake kutoka moyoni?

Image
Abdallah Dida Atoa chake kutoka moyoni? Akizungumza na mwandishi wetu Kwa kuwa mchezo wa jana kuukosa ila Mashabiki wa timu ya mtibwa wajiaandae kumuona AKIWA FULL UWAJANI Baada ya kusumbuliwa Na majeraha Kwa Muda Mrefu Ila kwa mjibu wa madaktari wa mtibwa sugar walisema atakuwa Tayari kama enzi zake

ASLAY AANGUA KILIO BAADA YA YANGA KUFUNGWA

Msanii huyo wa kizazi kipya aliangua kilio baada ya yanga kufungwa BAO 3-1 Camera za Mashilawadu Kutuletea Ubuyu ULIANDALIWA NA MZZTHEBABA SOUDY BROWN  

YANGA SPORT CLUB YAKUNGUTWA BAO 3--1

YANGA SPORT CLUB YAKUNGUTWA BAO 3--1   Yanga wamepoteza mchezo wao wa kwanza wa sportpesa CUP   Kwa mechi ya kwanza ndani ya mchezo  UKITAKA UAANGALIE MECHI ZAIDI INGIA KWENYE YOU TUBE ANDIKA ATILIO KIBUGA TV 

MTIBWA SUGAR YAIBOMOA SINGIDA UNITED BAO 3-2 NA KUNYAKUA UBINGWA WA ASFC 2018

MTIBWA SUGAR YAIBOMOA SINGIDA UNITED BAO 3-2   NA KUNYAKUA UBINGWA WA ASFC 2018 MAGOLI YA MTIBWA YALIFUNGWA NA Salim Kihimbwa                                                                               Issa Rashid Baba ubaya                                                                               Chomeka

ABDALLAH DIDA AACHANA NA UBACHELA AFUNGA NDOA

Image
ABDALLAH DIDA AACHANA NA UBACHELA BY ATILIO KIBUGA HIVYO NDIVYO HILIVYO BAADA YA KIPA WA MTIBWA SUGAR KUFUNGA NDOA KIPA HUYO AMEFUNG NDOA NA MKEWE PICHA NA ATILIO KIBUGA A.J KIBUGA VIDEO PRODUCTION