Posts

DIRISHA LA MAOMBI YA KWENDA VYUO VIKUU NA VYUO VYA KATI LAFUNGULIWA

6/07/2018 KARIM  ENTERPRISES CO.LTD Dealers in :Stationery , Printways and Internert café INAWATANGAZIA WANAFUNZI WALIOKWISHA MALIZA SHULE ZA   SEKONDARI WA KIDATO CHA NNE KWA MWAKA 2017 NA MIAKA YA NYUMA NA KIDATO CHA SITA KWA MWAKA 2017 NA MIAKA YA NYUMA   WANAOTAKA KWENDA KUSOMA  VYUO VIKUU,  NA VYUO VYA KATI VYA KATI KUWA:- -        MIFUMO YA KUTUMA MAOMBI   KWA NJIA YA MTANDAO KWA VYUO VYA SERIKALI    NA VYUO BINAFSI IMEFUNGULIWA NA IPO WAZI   KATIKA FANI MBALIMBALI KAMA UALIMU , AFYA , UHASIBU , USIMAMIZI WA BIASHARA , MASOKO , UNUNUZI NA UGAVI , USTAWI WA JAMII ,USIMAMIZI BENKI NA FEDHA, USIMAMIZI WA KODI   NA NYINGINEZO KATIKA NGAZI ZA CERTIFICATE , DIPLOMA NA BACHELOR. -        HIVYO WANAOTAKA KUTUMA MAOMBI YA KUJIUNGA NA VYUO HIVYO WANASHAURIWA KUFIKA KATIKA OFISI ZETU ZILIZOPO MADIZINI MTAA WA MSIKITINI MWISHO WA KUTUMA MAOMBI :- KWA ...

MTOTO PATRICK WA MUNALOVE NA CASTO AFARIKI DUNIA -VIDEO

Image
MTOTO PATRICK WA MUNALOVE NA CASTO AFARIKI DUNIA -VIDEO July 4, 2018 by  ATILIO KIBUGA BLOG ATILIO KIBUGA BLOG KY AJK WALTER KIBUGA MSANII wa Filamu za Bongo na mdau wa Muziki wa Bongo Fleva, Rose Alphonce ‘Muna Love’  na mtangazaji Casto Dickson,  wamefiwa na mtoto wao aitwaye Patrick ambaye amefariki leo Julai 3, 2018 akiwa nchini Kenya akipatiwa matibabu. Sababu za kifo chake hakijafahamika. Muna Love akiwa na mtoto wake. Kupitia ukurasa wa instagram wa Zamaradi Mketema ameandika “Tumejitahidi ila MUNGU ana mitihani yake, mikono inatetemeka ila ndio ukweli, PATY AMEFARIKI!! Pumzika kwa amani baba”

Secret issue #tumewashaWasafitv

#TUMEWASHA SASA WASAFI TV KUUNGANISHWA NA ATILIO KIBUGA BLOG KUCKEKI TV BURE UKIINGIZA NAMBA ZAKO BAGUVIX – Infinite Health FULLCLIP – Infinite Ammo CVWKXAM – Infinite Oxygen HESOYAM – Health, Armor, $250K LXGIWYL – Weapons 1, Grunt PROFESSIONALSKIT – Weapons 2, Surgeon UZUMYMW – Weapons 3, Berserker PROFESSIONALKILLER – Hitman Stat Level STATEOFEMERGENCY – Chaos Mode MUNASEF – Adrenal Mode IOJUFZN – Riot Mode JCNRUAD – Smash N’ Boom ONLYHOMIESALLOWED – Gang Members Everywhere FOOOXFT – Armed Peds BGLUAWML – Peds Attack (Rockets) AJLOJYQY – Peds Attack Each Other BAGOWPG – Your are Hunted SJMAHPE – Recruit Anyone (9mm) ROCKETMAYHEM – Recruit Anyone (Rockets) BIFBUZZ – Gangs Rule the Streets ROCKETMAN – Jetpack AIYPWZQP – Parachute BUFFMEUP – Muscle Maxed BTCDBCB – Fatty KVGYZQK – Skinny HELLOLADIES – Sexiness Maxed BEKKNQV – Slut Magnet WORSHIPME – Respect Maxed CVWKXAM – Lung Capacity Maxed NATURALTALENT – Vehicle Skills Maxed BRINGITON – Wanted Level ...

SHILAWADU WAKUBALI KUNUNUA ACCOUNT YA ATILIO KIBUGA

YA KWELI HAYA HATUSHWINDWI INTRO https://www.youtube.com/results?search_query=atilio+kibuga+tv SHILAWADU WAAHIDI KUNUNUA YOU TUBE CHANNEL YA ATILIO KIBUGA BLOG

MTAALAMU MWALIMU SEIF JUMA MUSSA

Image
MTAALAMU MWALIMU SEIF JUMA MUSSA  ANAWAKARIBISHA KATIKA OFISI  YA UJASIRIAMALI  KWAKO WEWE  MJASIRIAMALI NA PIA WANAPATIKANA KATIKA SOCIAL YOU TUBE: UEA TANZANIA TV NA KWENYE  BLOG YAO NI http//www.ueatanzania.blogspot.com

KILIMO CHA MATIKITI MAJI KIBIASHARA JIFUNZE NA MWALIMU SEIF JUMA MUSSA

Image
KILIMO CHA MATIKITI MAJI KIBIASHARA NA MWALIMU DKT SEIF JUMA MUSSA UEATANZANIA  June,9,2018 Shambani , usisahau kusbsubcribe channel yetu ya you tube  Uea Tanzania tv Habari ndugu, natumaini unaendelea vyema na juhudi za kuelekea kwenye mafanikio. Nina uhakika kabisa unatamani kutoka hapo ulipo na kufikia mafanikio, hata kama tayari umeshafikia kiwango fulani cha mafanikio nina uhakika pia unatamani kusonga mbele zaidi. Leo ninataka tuanze kujifunza kuhusu kilimo maarufu kwa sasa hapa nchini, Kilimo cha tikiti maji. Leo katika mijadala ya fursa za kilimo, kilimo cha tikiti maji hakikosi katika mijadala hiyo. Hata katika kazi ninazofanya za kutoa ushauri kwa wakulima, wakulima wengi wamekua wakitamani sana kuingia kwenye kilimo cha tikiti maji na wamekua wakitamani sana kujifunza kuhusu kilimo hichi. Umaarufu na Kupendwa kwa kilimo hichi kunasababishwa na mambo mawili makubwa: Kwanza ni kilimo cha muda mfupi (miezi 2 hadi 3) kiasi kwamba mkulima anaweza kulima hadi...

Msanii wa Bongo Fleva Tanzania Sam wa Ukweli ameaga dunia

Image
Msanii wa Bongo Fleva Tanzania Sam wa Ukweli ameaga dunia BY mwandishi atiliokibugajr Sambaza habari hii Facebook   Sambaza habari hii Twitter   Sambaza habari hii Messenger   Sambaza habari hii Email   . Haki miliki ya picha SAM WA UKWELI Image caption Mwanamuziki wa Bongo Fleva nchini Tanzania, Sam wa ukweli Msanii wa Bongo Fleva, Salum Mohamed aliyetamba kwa jina la Jukwaani kama Sam wa Ukweli amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Juni 7, 2018. Sam alitamba sana na kazi zake kama vile Sina Raha alioutoa katika ya mwaka 2009 na 2010, Usiniache, Lonely na Hata kwetu wapo. Hapo kati kati alipotea mpaka mwishoni mwa mwaka 2017 alipoibuka na kibao kingine kwa jina Kisiki na baadaye mwanzoni mwaka huu wa 2018 akauachia Wimbo Ni Wewe. Ingawa ni mtu wa Singida Sam wa Ukweli amekulia Kiwangwa jirani na mji wa Dar es Salaam ambako amelelewa na Bibi yake mzaa mama. Kwa mujibu wa aliyekuwa Meneja wa msanii huyo, Abdulmalik Mohamed , mwili wa mareh...