Posts

Showing posts from 2017

RPC Shanna: Atakaefunga Barabara Na Kuchoma Matairi Mkesha Wa Mwaka Mpya Kukiona SeeBait

Image
Wednesday, December 27, 2017 RPC Shanna: Atakaefunga Barabara Na Kuchoma Matairi Mkesha Wa Mwaka Mpya Kukiona Na Mwamvua Mwinyi,Pwani Kamanda wa polisi mkoani Pwani (ACP) Jonathan Shanna ,ametoa onyo kwa watu wenye tabia ya kufunga barabara kwa kuchoma matairi katika mkesha wa mwaka mpya na kupelekea usumbufu kwa watuamiaji wengine wa barabara kuacha kufanya kitendo hicho . Amesema atakaejaribu kuchoma moto matairi kwenye mkesha huo,jeshi la polisi mkoani hapo litamchukulia hatua kali ili iwe fundisho kwa wengine.   Akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na hali ya kiusalama inavyoendelea hasa katika kipindi hiki cha kuelekea kwenye sikukuu ya mwisho wa mwaka ,kamanda Shanna alisema wanazidi kuimarisha doria katika pande zote za mkoa huo.   Alisema kipindi cha sikukuu ya x-mas hali ilikuwa shwarii hivyo wanaendelea na misako ya miguu kwa kushirikiana na vyombo vingine vya ulinzi na usalama na doria hizo zitakuwa mtaa kwa mtaa na ...

CCM yamjibu Askofu Kakobe baada ya kuikashifu serikali

Image
Wednesday, December 27, 2017 CCM yamjibu Askofu Kakobe baada ya kuikashifu serikali Chama cha Mapinduzi (CCM) kimesema Askofu Zakaria Kakobe wa Kanisa la FGBF lililopo Mwenge jijini Dar es Salaam amekosa hekima na busara kwa kugeuza madhabahu ya kanisa kuwa jukwaa la kisiasa na kuanza kukashifu viongozi wa serikali akiwemo Rais Dkt John Pombe Magufuli. Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Mkoa wa Dar es Salaam, Frank Kamugisha alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari ikiwa ni siku moja baada ya Aksofu Kakobe kukosoa namna serikali inavyotenda mambo yake, akisisitiza kwamba Tanzania si nchi ya chama kimoja kama ambavyo viongozi wanataka kuigeuza na hivyo kuwataka viongozi wa serikali waanze kutubu. Kamugisha amesema kuwa, wao kama viongozi wa CCM hawaweza wakakaa kimya wanapoona chama kinachafuliwa na viongozi wake ambao wanafanya kazi kwa niaba ya watanzania wakikashifiwa. Aidha, alisema kuwa, siasa ni kwa ajili ya wanasiasa, na ...

Serikali Yaanza Kuwashughulikia Wasanii Wanaovaa Nusu Uchi

Image
Wednesday, December 27, 2017 Serikali Yaanza Kuwashughulikia Wasanii Wanaovaa Nusu Uchi Waziri wa Habari, Utamaduni, sanaa na Michezo, Dkt Harrison Mwakyembe amesema wizara imeanza kutekeleza agizo la Rais Magufuli juu ya baadhi ya wasanii ambao wanadaiwa kuwa chanzo cha kuporomoka kwa maadili ya kitanzania. Waziri Mwakyembe ametoa taarifa hiyo alipokuwa akizungumza na mwandishi wa habari na kusema kwamba kitendo cha Rasi Magufuli kusema suala hilo, kimewapa nguvu ya kuzidi kupambana na wasanii, ambapo hapo awali walikuwa wakiwagusa huwajia juu na kulalamika. "Pale tunapoona kuna ukiukwaji, tufumbe macho tusijali malalamiko yanavyokuja kutolewa, maana ukiwagusa wasanii walikuwa wanakuja juu sana, lakini tunashukuru mkuu wa nchi kulisemea hilo, basi na sisi tumeongezewa nguvu basi hatutaachia suala hilo kuendelea kuharibu vizazi vyetu", amesema Waziri Mwakyembe. Hivi karibuni Rais Magufuli alizitaka mamlaka husika kuwachukulia hatua wasa...

Taarifa ya serikali kuhusu kuzimwa kwa 'chaneli' za bure kwenye ving'amuzi

Image
Wednesday, December 27, 2017 Taarifa ya serikali kuhusu kuzimwa kwa 'chaneli' za bure kwenye ving'amuzi Kufuatia uwepo wa malalamiko ya mara kwa mara kutoka kwa wananchi kuhusu kukosa huduma ya runinga za bure pindi vifurushi katika visimbusi (ving’amuzi) vyao vinapomalizika, serikali imetolea ufafanuzi suala hilo kwa kueleza namna mfumo wa utendaji unavyotakiwa kufanya kazi. Akijibu maswali ya watumiaji mbalimbali wa mtandao wa Twitter kuhusu urushwaji wa runinga za bure, Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Abbas alisema, kwa mujibu wa sheria iliyopo sasa, vituo vyote vya runinga ambavyo vimepewa leseni ya FTA (Free to Air) vinapaswa kuonekana hata baada ya kifurushi kwenye kisimbusi kwisha. Dkt. Abbas alisema kwamba, hadi sasa kuna vituo 16 vya runinga vya ndani ya nchi vilivyopewa leseni hizo, vikiwemo vituo vya ITV, Clouds TV na Channel 10. Aidha, alifafanua kuwa, ili mtumiaji aweze kutazama hata baada ya kufurushi chake cha malipo kwi...

VIDEO: Tanzania All Stars – UZALENDO

Image
VIDEO: Tanzania All Stars – UZALENDO By ATILIO KIBUGA BLOG  -   December 15, 2017 WATCH VIDEO

VIDEO: Makihiyo ft Ben Pol – Ni Wako

Image
VIDEO: Makihiyo ft Ben Pol – Ni Wako By ATILIO KIBUGA BLOG -   December 16, 2017 WATCH VIDEO

VIDEO: Young Killer Msodoki ft Bright – Toto Tundu

Image
VIDEO: Young Killer Msodoki ft Bright – Toto Tundu By ATILIO KIBUGA BLOG - December 18, 2017 WATCH VIDEO

Njia Bora Za Asili Za Kukuza Nywele Zako Mambo Unayotakiwa Kuyafanya

Image
Njia Bora Za Asili Za Kukuza Nywele Zako Mambo Unayotakiwa Kuyafanya ATILIO KIBUGA BLOG   Wednesday, December 13, 2017     urembo Kwa wale ambao tuna nywele asilia a.k.a natural hair,tayari tunafahamu changamoto kadhaa tunazokumbana nazo.Kwa wale mnaofikiria kuanza kuwa na nywele asilia,karibuni sana tuendelee kujuzana namna ya kutunza nywele zetu kama tulivyopewa na Mungu. Katika mada ya leo,nitakwenda kuzungumzia vitu vya kuzingatia ili kuikuza nywele yako asilia kwa haraka zaidi.Je,unazifahamu nywele zako vizuri?Una nywele za aina gani?Zina tabia gani?Zinataka nini? 1.Kuzikubali kama zilivyo na kuzipenda. Utasikia ..hiki kipilipili changu ni steelwire ya kimataifa, ..hakitikisiki hata upepo wa dunia yote ungevumia pande hizi.Mwingine oh..nywele zangu kama miti ya mibuyu kichwani…hazishikiki.Tatizo ni kwamba hamjafahamiana vizuri yani wewe na nywele zako.Hata mimi niligombana nazo sana huko nyuma kabla ya kuzielewa vizuri.Jenga mahusiano mazuri tu na ...

Rasmi Apple yainunua App ya Shazam kwa bilioni 897.58

Image
Rasmi Apple yainunua App ya Shazam kwa bilioni 897.58 ATILIO KIBUGA BLOG  3     Thursday, December 14, 2017     Tecnolog Baada ya tetesi za muda kampuni ya Apple imetangaza rasmi kuinunua App maarufu ya kutambua muziki ya Shazam. Katika taarifa iliyotolewa na pande zote mbili kulionesha mafanikio yaliyofikiwa kwa makubaliano yenye thamani ya dola za kimarekani milioni 400 sawa na pesa ya Tanzania yenye thamani ya 897,580,000,000. Apple wamesema wanafuraha kwa shazam kujiunga nao na wana mipango mizuri juu ya uboreshaji wa App ya Shazam. Kwa upande wa Shazam wamesema wamefanya makubaliano kuwa sehemu ya timu ya Apple. Shazam ni moja ya programu zinazopendwa na kupakuliwa sana na mamilioni ya wengi duniani ambapo kazi yake kubwa ni kutambua muziki wowote ambao unautafuta. Mfano kuna muziki unausikia na ungependa kujua umeimbwa na nani unachofanya ni kufungua App ya Shazam na kusikilizisha muziki huo na punde itautambua muziki huo kwa jina lake na...

Njia 10 Za Kupunguza Magonjwa Ya Mlipuko Wa Kuku

Image
Njia 10 Za Kupunguza Magonjwa Ya Mlipuko Wa Kuku ATILIO KIBUGA BLOG      Saturday, December 16, 2017     Kilimo Mlipuko wa magonjwa ni moja ya sababu za hasara kubwa kwa wafugaji na vifo vinavyotokea kwa wakati mmoja. Pindi mfugaji anapokumbwa na janga la vifo vya ndege, kabla ya kufikia mwisho wa mzunguko wa uzalishaji hivyo basi asitarajie kupata faida nzuri mara baada ya mauzo. Hasara itokanayo na vifo inaweza kuepukika au kupunguzwa na kutokea kwa kiasi kidogo. Hili linawezekana, ifuatayo ni namna ya kufanikisha hilo;- 1. Osha vyombo vya maji kila wakati na mwaga maji yaliyobaki. Hakikisha unamwaga maji yaliyosalia mbali na kuosha chombo na sabuni kila siku, weka maji safi yasiyo na dawa na wala usitumie maji ya mto au yale usiyoyajua chanzo chake. Kama utaweka maji dawa basi tumia ‘vitamini’ muhimu kama ‘vitalyte’ ambazo zinasaidia kuua vijidudu. 2. Wape maji kabla ya chakula. Ndege wapo tofauti na binadamu au wanyama wengine. Hakikisha u...

JIFUNZE ENGLISH

Image
JIFUNZE ENGLISH ATILIO KIBUGA   Blog     Sunday, December 17, 2017   JIFUNZE ENGLISH PERSONAL PRONOUNS IT AND THERE NOUN BE NA VERBS COUNTABLE NOUNS SINGULAR AND PLURAL NOUNS COUNT NOUNS VS. NON-COUNT NOUNS POSSESSIVE NOUNS PRONOUNS CAPITALIZATION INTERJECTIONSINTERJECTIONS INDEFINITE AND DEFINITE ARTICLES CONJUNCTIVE ADVERBS SUBORDINATING CONJUNCTIONS COORDINATING CONJUNCTIONS AND CORRELATIVE CONJUNCTIONS PREPOSITIONS WITH, OVER, AND BY PREPOSITIONS OF, TO, AND FOR PREPOSITIONS ON, AT, AND IN AUXILIARY VERBS CAN / COULD AND MAY / MIGHT / MUST AUXILIARY VERBS WILL / WOULD AND SHALL / SHOULD AUXILIARY VERBS BE, DO, HAVE MOOD FOR GRAMMAR ACTIVE VOICE AND PASSIVE VOICE INFINITIVES PART 1   INFINITIVES PART 2 GERUNDS IRREGULAR VERBS PERFECT PROGRESSIVE TENSE PROGRESSIVE AND PERFECT TENSE SIMPLE TENSE PERSONALPRONOMEN I (NOMINATIV)

Rais Dkt. Magufuli ateuliwa kugombea CCM

Image
Sunday, December 17, 2017 Rais Dkt. Magufuli ateuliwa kugombea CCM

Tundu Lissu amjibu Job Ndugai

Image
Sunday, December 17, 2017 Tundu Lissu amjibu Job Ndugai Mbunge wa Singida Mashariki (CHADEMA), Tundu Lissu amefunguka na kumjibu Spika wa Bunge, Job Ndugai kuhusu kauli yake ya kusema kuwa utaratibu uliotumika kumsafirisha Tundu Lissu kwenda Nairobi kuwa ulikwenda kinyume na mfumo wa serikali na kibunge. Tundu Lissu anadai kuwa kauli hiyo haina ukweli hata kidogo kwani kitendo cha yeye kusafirishwa kwa ndege mnamo Septemba 7, 2017 majira ya usiku kuelekea kwa matibabu nchini Kenya ni wazi kuwa kibali kilitolewa na serikali pamoja na Bunge kwani bila hivyo yeye asingeweza kusafirishwa. "Mimi sikuamua kuja Nairobi sikuwa najitambua, watu walioamua mimi kuja Nairobi ni pamoja na Spika Ndugai mwenyewe watu wameniambia kwenye hicho kikao cha nipelekwe wapi Ndugai alikuwepo, Naibu wake alikuwepo, Katibu wa Bunge wakati huo Kashilila alikuwepo, Mwenyekiti wa chama changu alikuwepo ile ndege iliondoka saa sita usiku sasa ingerukaje kama haikuruhusiwa na...

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumatatu ya Disemba 18

Image
Monday, December 18, 2017 Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumatatu ya Disemba 18