Popular posts from this blog
FAIDA NA MAAJABU JUISI YA UBUYU
Mungu ameumba miti na mimea kwa ajili ya binadamu. Kila mti au mmea una makusudio yake. Mbuyu ni miongoni mwa miti yenye faida nyingi na maajabu mengi. Vitu vyote vilivyomo kwenye mbuyu vinatumika kama chakula au dawa kwa faida ya binadamu. Unga wa ubuyu unaelezwa kuwa na vitamini na madini mengi kuliko matunda mengine yoyote unayoyajuwa. 1. Inaelezwa kuwa unga wa ubuyu una vitamini C nyingi mara 6 zaidi ya ile inayopatikana katika machungwa. 2. Ubuyu una kiwango kingi cha madini ya kalsiamu (Calcium) mara 2 zaidi ya maziwa ya ng’ombe, pia madini mengine yapatikanayo katika ubuyu ni pamoja na madini ya Chuma, Magnesiamu na Potasiamu ambayo ni mara 6 zaidi ya ile potasiamu ipatikanayo katika ndizi! 3. Husaidia kujenga neva za fahamu mwilini 4. Ina virutubisho vya kulinda mwili 5. Ubuyu una vitamini B3 na B2 ambayo ni mhimu katika kuondoa sumu mwilini na umeng’enyaji wa madini ya chuma, kimsingi vyakula vyenye afya zaidi kwa ajili ya mwili wa binadamu huwa na vitamin B...
MATOKEO YA DARASA LA SABA 2017 HAYA HAPA
https://www.google.com/url?sa=t&rct=j&q=&esrc=s&source=web&cd=1&cad=rja&uact=8&ved=0ahUKEwi5sJzV-8rXAhWEWRQKHXMbCuwQFggxMAA&url=http%3A%2F%2Fdewjiblog.co.tz%2Fnecta-yatoa-matokeo-ya-darasa-la-saba-2017-yasome-hapa%2F&usg=AOvVaw0ZwCn7UuqrGf7tou3LvHNa DEWJIBLOG Top Menu NIFAHAMU MTANGAZO WASILIANA NAMIMI Main Menu NYUMBANI KITAIFA KIMATAIFA MICHEZO BURUDANI ZAIDI NIFAHAMU MTANGAZO WASILIANA NAMIMI NYUMBANI KITAIFA KIMATAIFA MICHEZO BURUDANI ZAIDI NECTA YATOA MATOKEO YA DARASA LA SABA 2017, YASOME HAPA KITAIFA BY RABI HUME OCTOBER 20, 2017 0 SHARE: Baraza la Taifa la Mitihani (NECTA) limetangaza matokeo ya mtihani wa Kumaliza Elimu ya Msingi kwa mwaka 2017. Kwa mwaka 2017 ufaulu wa wanafunzi umeongezeka kwa asilimia 2.4 kutoka mwaka 2016, idadi ya wanafunz...
wooh
ReplyDelete