USAJILI WA SPOTI ZA JUU
Manchester City wakatisha rekodi nzuri ya Manchester United Old Traford
Baada ya safari ndefu ya michezo 40 bila kupoteza katika uwanja wao wa Old Traford hatimaye Jose Mourinho ameambulia kipigo katika uwanja huo baada...
Marseyside Derby, Everton wataendelea kuwa wanyonge wa Liverpool leo?
Kabla ya mchezo kati ya Manchester United vs Manchester City dunia itashuhudia mchezo mkubwa nchini Uingereza ambapo majogoo wa London Liverpool watakuwa nyumbani kuikaribisha...
Mourinho kuendelea kutamba nyumbani mbele ya mtemi wake Pep Gurdiola?
Manchester United wanawakaribisha majirani zao Manchester City hii leo katika mchezo ambao unasubiriwa kwa hamu kubwa sana, vilabu hivi viwili vinaongoza mbio za ubingwa...
Kutoka kuwa ndugu, marafiki, shule hadi maadui, fahamu chanzo cha bifu kati ya Mou...
Jumapili hii wanasema hatumwi mtoto dukani, kila mti atatupia macho yake katika uwanja wa Old Traford ambapo Jose Mourinho atamkaribisha Pep Gurdiola katika mchezo...
Ndondo Cup Mbeya hakuna kulala
Baada ya jana (Dec 8, 2017) michuano ya Ndondo Cup Mbeya kuzinduliwa na mkuu wa mkoa huo Mh. Amos Makala na kushuhudia mchezo wa...
Mudathir amerudisha heshima ya nchi, Singida yaweka rekodi
Kwa taarifa yako tu, Mudathir Yahya amekuwa mchezaji wa kwanza mtanzania kushinda tuzo ya mchezaji bora wa mwezi msimu huu (2017/2018) tangu kuanza kwa...
Majeraha yaivuruga Kili Stars Kenya
Beki wa timu ya Taifa ya Tanzania Bara ‘Kilimanjaro Stars’ Kelvin Yondani ataukosa mchezo dhidi ya Rwanda utakaofanyika kesho Jumamosi Desemba 9, 2017 kwenye...
Mudathir Yahya wamoto VPL
Mchezaji wa timu ya Singida United ya Singida, Mudathir Yahaya amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa Mwezi Novemba, 2017 wa Ligi Kuu ya Vodacom (VPL)...
Baada ya Lionel Messi na CR7, hawa wafuatao wanaweza kuchukua nafasi zao
Leo hakuna habari kubwa katika soka kama habari ya Cristiano Ronaldo kubeba tuzo yake ya 5 ya Ballon D'Or, Cr7 na Lioneil Messi ni...
Tuzo ya 5 kwa Cr7 ndio tuzo yake kubwa ya mwisho, tunamshukuru na tunamtakia...
Alikuwepo Pele Mbrazil ambaye kila mtu aliamimi ana uwezo mkubwa sana kisoka lakino tumeshamsahau, alikuja Maradona mshambiliaji aliyetajwa kuwa hatari kuzaliwa nchini Argentina na...
30 bora ya ballon d’or hii hapa, Manchester United na Arsenal hawapo
Haikuwa jambo la ajabu wala la kushtukiza sana pale Cristiano Ronaldo usiku wa jana alipotangazwa kubeba tuzo yake ya 5 ya Ballon D Or,...
“Z’bar Heroes walistahili ushindi”-Kocha Kili Stars
Kocha mkuu wa timu ya taifa ya Tanzania bara ‘Kilimanjaro Stars’ Ammy Ninje ametoa sababu ya kikosi chake kupoteza mchezo dhidi ya Zanzibar Heroes...
Himid Mao afunguka kipigo Kili Stars
Nahodha wa Kilimanjaro Stars Himid Mao ‘Ninja’ amezungumzia kipigo cha bao 2-1 ilichopata timu yake kutoka kwa Zanzibar Heroes kwenye michuano ya kombe la...
Ronaldo asawazisha vs Messi, sasa ni 5-5, Neymar kuiharibu mechi msimu ujao?
Kama ambavyo wengi walivyotabiri, Cristiano Ronaldo ametangazwa kuwa mshindi wa tuzo ya mchezaji bora wa dunia kupitia tuzo ya Ballon D’Or. Ronaldo alitangazwa kushinda tuzo...
Paulo Dyabala azungumzia kuitwa kwake kuichezea timu ya taifa Italia na Ballon D’or
Miaka 5 iliyopita mshambuliaji matata wa klabu ya Juventus na timu ya taifa ya Argentina Paulo Dyabal aliitwa katila timu ya taifa ya Italia,...
Kwa mara ya kwanza ndani ya miaka 12 mechi ya Manchester United haitaoneshwa
Mwaka 2005 ilikuwa mara ya mwisho kwa klabu ya Manchester United kucheza mchezo wa michuano ya FA halafu mchezo huo usioneshwe, na kuanzi kipindi...
Comments
Post a Comment