Mourinho arushiwa maji na maziwa kufuatia kushindwa kwa Man U

Mourinho arushiwa maji na maziwa kufuatia kushindwa kwa Man U

 USISAHAU KUSUBSCRIDE ACCOUNT YANGU YA YOU TUBE UPATE INFO ZAIDI
Manchester City players celebrate after their Derby win at Manchester UnitedHaki miliki ya pichaGETTY IMAGES
Image captionManchester City walisherehekea mbele ya mashabiki
Maneja wa Manchester United Jose Mourinho amerushiwa maji na maziwa kufuati kushindwa na Manchester City huko Old Trafford.
United walikasirika kutokana na kile walichokiona kuwa kusherehekea kupindukia kwa City kufuati ushindi wa Jumapili wa bao 2-1 ambalo lilifungua mwaka wa pointi 11 kileleni.
Wachezaji wa City walisherehekea na mashabiki wao baada ya kipenga cha mwisho na maafisa wengine wakajaribu kumshawishi meneja Pep Guardiola kujiunga nao lakini akakataa.
Baada ya wachazaji kuondoka uwanjani inaeleweka kuwa Mourinho alilalamika akiwa ndani ya chumba cha kubadilishia nguo kabla ya kurudi kwa mahojiano.
Upande wa City ulijibu huku kipa wa Brazil Ederson akijibizana na Mourinho kwa lugha ya kireno.
Manchester CityHaki miliki ya pichaLEROY SANE, TWITTER
Image captionWachezaji wa City wakishrrehekea Old Trafford

Mada zinazohusiana

Comments

Popular posts from this blog

JINSI YA KUFUNGUA BLOG KWENYE BLOGGER

MATOKEO YA DARASA LA SABA 2017 HAYA HAPA

FAIDA NA MAAJABU JUISI YA UBUYU