Baada ya tetesi za muda kampuni ya Apple imetangaza rasmi kuinunua App maarufu ya kutambua muziki ya Shazam.
Katika taarifa iliyotolewa na pande zote mbili kulionesha mafanikio yaliyofikiwa kwa makubaliano yenye thamani ya dola za kimarekani milioni 400 sawa na pesa ya Tanzania yenye thamani ya 897,580,000,000.
Apple wamesema wanafuraha kwa shazam kujiunga nao na wana mipango mizuri juu ya uboreshaji wa App ya Shazam. Kwa upande wa Shazam wamesema wamefanya makubaliano kuwa sehemu ya timu ya Apple.
Shazam ni moja ya programu zinazopendwa na kupakuliwa sana na mamilioni ya wengi duniani ambapo kazi yake kubwa ni kutambua muziki wowote ambao unautafuta.
Mfano kuna muziki unausikia na ungependa kujua umeimbwa na nani unachofanya ni kufungua App ya Shazam na kusikilizisha muziki huo na punde itautambua muziki huo kwa jina lake na ni nani aliyeuimba.
Kununuliwa kwa Shazam kunaweza kuwa pigo kwa watumiaji wa simu za mfumo wa Android kwani kuna uwezekano mkubwa App hiyo kuondolewa katika Play store na kubaki kwenye duka la AppStore pekee.
BLOGGER NI MOJA KATI YA MAKAMPUNI MAKUBWA DUNIANI YANAYOKUWEZESHA WEWE KUFUNGUA BLOG YAKO NZURI NA NI RAHISI KUTUMIA SO FANYA KITU KIMOJA NENDA KWENYE GOOGLE ANDIKA CREAT BLOG WITH BLOGGER The latest tips and news from the Blogger team Share your unique style with new Blogger themes March 20, 2017 If you’re one of the millions of people who uses Blogger to share your views on current affairs, teach the world how to make sushi, or just offer a peek into your day, then you know how important it is to be able to put your personal stamp on your blog. After all, your blog isn’t just a place you share, it’s a reflection of who you are and the impression you’d like to leave with your readers. To make it easier for you to express your unique style, we’ve created a new set of blog themes for you to choose from. Each theme comes in a variety of colors, is fully customizable, and can be added to your blog with just a few clicks....
MATOKEO YA MITIHANI - Examination Results Baraza La Mitihani La Tanzania - The National Examination Council Of Tanzania - All The Examination Results & Educational Resources For Free Downloads. Wednesday, January 20, 2016 CSEE - FORM FOUR EXAMINATION RESULTS 2015/2016 - Matokeo ya kidato cha nne - 2015/2016 MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2016/2017 - MATOKEO YA FORM FOUR 2015/2016 - Baraza La Mitihani Tanzania - The National Examination Council Of Tanzania ( NECTA ) - Updated CSEE Results 2015/2016 , Form Four Results - Matokeo Kidato Cha Nne (IV) 2015/2016 Haya Hapa! Matokeo ya O Level, Updated Form four Results 2015/2016 MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2017/2018 - Coming soon "Teachers open the door, but you enter by you...
https://www.google.com/url?sa=t&rct=j&q=&esrc=s&source=web&cd=1&cad=rja&uact=8&ved=0ahUKEwi5sJzV-8rXAhWEWRQKHXMbCuwQFggxMAA&url=http%3A%2F%2Fdewjiblog.co.tz%2Fnecta-yatoa-matokeo-ya-darasa-la-saba-2017-yasome-hapa%2F&usg=AOvVaw0ZwCn7UuqrGf7tou3LvHNa DEWJIBLOG Top Menu NIFAHAMU MTANGAZO WASILIANA NAMIMI Main Menu NYUMBANI KITAIFA KIMATAIFA MICHEZO BURUDANI ZAIDI NIFAHAMU MTANGAZO WASILIANA NAMIMI NYUMBANI KITAIFA KIMATAIFA MICHEZO BURUDANI ZAIDI NECTA YATOA MATOKEO YA DARASA LA SABA 2017, YASOME HAPA KITAIFA BY RABI HUME OCTOBER 20, 2017 0 SHARE: Baraza la Taifa la Mitihani (NECTA) limetangaza matokeo ya mtihani wa Kumaliza Elimu ya Msingi kwa mwaka 2017. Kwa mwaka 2017 ufaulu wa wanafunzi umeongezeka kwa asilimia 2.4 kutoka mwaka 2016, idadi ya wanafunz...
Comments
Post a Comment