IGP Sirro Akagua Na Kushiriki Mazoezi Ya Ukakamavu Na Askari Wa Mkoa Wa Tabora
Tuesday, December 12, 2017
IGP Sirro Akagua Na Kushiriki Mazoezi Ya Ukakamavu Na Askari Wa Mkoa Wa Tabora
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro wa tatu kutoka kushoto akiangalia mmoja wa askari wa Jeshi la Polisi akiwa katika mazoezi ya utayari kupita juu ya kamba mkoani Tabora jana.
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro wa tatu toka kulia jana asubuhi alishiriki mazoezi ya utayari na kuwatia hamasa Askari wa Mkoa wa Tabora, katika ziara yake ya siku moja mkoani humo, hatua hiyo ni kutokana na kuwataka askari wa Jeshi la Polisi kuwa na utayari wakati wote .
Picha na Jeshi la Polisi
Comments
Post a Comment